MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA ASAS AFARIKI DUNIA..FAMILIA YATAKA WAOMBOLEZAJI WASIENDE NYUMBANI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Friday, August 13, 2021

MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA ASAS AFARIKI DUNIA..FAMILIA YATAKA WAOMBOLEZAJI WASIENDE NYUMBANI


Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri
**
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri, amefariki dunia hii leo Agosti 13, 2021 Jijini Dar es Salaam, na familia yake imeomba waombolezaji wasiende nyumbani na atazikwa hii leo katika Makaburi ya Kisutu.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya familia ya ASAS imeeleza kwamba, njia ya teknolojia za habari itumike katika kutoa pole na shughuli zingine za msiba na si kukusanyika nyumbani.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages