ALIYELETA TAHARUKI DAR ATHIBITIWA


Mwanaume aliyeleta taharuki Jijini Dar es Salaam leo

Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam, limefanikiwa kumdhibiti kwa risasi mtu mmoja aliyekuwa na silaha mbili za kivita karibu na eneo zilipo Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa wilayani Kinondoni ambapo alikuwa akifyatua risasi na kutishia usalama wa eneo hilo.

Taharuki hiyo imezuka mchana wa leo Agosti 25, 2021, ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro, amesema kwamba katika tukio hilo mtu huyo aliwaua Askari wawili na kisha na baadaye yeye aliuawa katika majibizano ya risasi.

CHANZO - EATV

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post