Picha : MAELFU WAJITOKEZA MAZISHI YA MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA DAVID NKULILA

Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu akiombea mwili wa marehemu David Nkulila mara baada ya kuongoza Sala ya Buriani katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati ameongoza maelfu ya waombolezaji katika mazishi ya Mwili wa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila (57) aliyefariki dunia Agosti 23,2021 kutokana na ugonjwa wa moyo.

Mazishi ya mwili wa marehemu David Nkulila ambaye pia alikuwa Diwani wa kata ya Ndembezi yamefanyika leo Jumatano Agosti 25,2021 katika makaburi ya Mageuzi Ndembezi Mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na maelfu ya waombolezaji kutoka ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga.

Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila imefanyika katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga.

Nkulila amekuwa Diwani wa kata ya Ndembezi tangu mwaka 2010 anafariki dunia Agosti 23,2021 na Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mwaka 2010-2015.

Pia amekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Mabambasi tangu mwaka  2004  hadi mwaka 2019.

Nkulila alichaguliwa kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Novemba 24 Mwaka 2020 na ametumikia nafasi ya Meya kwa kipindi cha miezi 10 hadi umauti ulipomkuta.

David Mathew Nkulila alikuwa na maono ya kuifanya Manispaa ya Shinyanga kuwa Jiji na tayari alikuwa ameanzisha usafiri wa daladal za Hiace kwa njia za Mjini Shinyanga hadi Old Shinyanga, Mjini hadi Kolandoto na Mjini hadi Ishinabulandi.

Nkulila atakumbukwa kwa misimamo yake thabiti katika kutetea wanyonge, asiyekubali kuyumbishwa na kupiga vita rushwa na ufisadi.

Nkulila ameacha mjane watoto watano kati yao watoto watatu ni wa kulea aliachiwa na marehemu ndugu zake.

Soma pia:
Madiwani wa Manispaa ya Shinyanga wakiingiza mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga kwa ajili ya Misa ya kuombea mwili wa marehemu. Picha na Kadama Malunde  - Malunde 1 blog
David Nkulila enzi za uhai wake
Madiwani wa Manispaa ya Shinyanga wakiingiza mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga kwa ajili ya Misa ya kuombea mwili wa marehemu.

Viongozi mbalimbali wakiwa kanisani. Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta  Mboneko akifuatiwa na Katibu wa CCM mkoa wa Shinyanga Donald Magesa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Mhe. Patrobas Katambi
Mwili wa marehemu David Nkulila ukiwa kanisani
Paroko wa Parokia ya Ngokolo Padre Adolf Makandagu akitoa mahubiri katika Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga.
Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Deusdedith Kisumo (kulia)akiongoza Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu akitoa neno wakati wa Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu akifukiza ubani mwili wa marehemu David Nkulila mara baada ya kuongoza Sala ya Buriani katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga

Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa marehemu David Nkulila mara baada ya kuongoza Sala ya Buriani katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Paroko wa Parokia ya Ngokolo Padre Adolf Makandagu akiaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga.
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga likiendelea
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati (kulia) wakiaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga likiendelea
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko akiaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Ngasa Mboje akiaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga likiendelea
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga likiendelea
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga likiendelea
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga likiendelea
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga likiendelea
Madiwani wa Manispaa ya Shinyanga wakiaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga

Waombolezaji wakiwa kanisani
Bi. Prisca akiaga  mwili wa marehemu mme wake David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Esther Makune akiaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Madiwani wakiaga mwili wa marehemu David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta  Mboneko akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa marehemu David Nkulila akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila
Diwani wa kata ya Lubaga Mhe. Reuben  Masanja Dotto akisoma historia fupi ya marehemu David Nkulila 
Zoezi la kutoa  salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila likiendelea
Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga,Mwalimu Meshack Elias Mashigala akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Zoezi la kutoa  salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila likiendelea
Msemaji wa familia akitoa neno la shukrani wakati wa Misa ya kuombea mwili wa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila
Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Ndugu wakiwa kwenye Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga

Waombolezaji wakiwa nje ya Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga
Mwili wa marehemu David Nkulila ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga kuelekea kwenye makaburi ya Mageuzi Ndembezi kwa ajili ya mazishi.
Gari lililobeba mwili wa marehemu David Nkulila likielekea katika Makaburi ya Mageuzi Ndembezi kwa ajili ya mazishi.
Msafara ukielekea katika Makaburi ya Mageuzi Ndembezi kwa ajili ya mazishi ya mwili wa marehemu David Nkulila.

Madiwani wa Manispaa ya Shinyanga wakiwa wamebeba mwili wa David Nkulila katika Makaburi ya Mageuzi Ndembezi
Vijana wa CCM wakitoa heshima za mwisho kwa gwaride maalumu kuaga mwili wa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila katika makaburi ya Mageuzi Ndembezi Mjini Shinyanga.

 Paroko wa Parokia ya Ngokolo Padre Adolf Makandago akiongoza Ibada ya Mazishi ya mwili wa marehemu David Nkulila Makaburi ya Mageuzi Ndembezi Manispaa ya Shinyanga.
Madiwani wa Manispaa ya Shinyanga wakiweka kaburini mwili wa marehemu David Nkulila kwenye Makaburi ya Mageuzi Ndembezi Manispaa ya Shinyanga.
Paroko wa Parokia ya Ngokolo Padre Adolf Makandago akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu David Nkulila
Waombolezaji wakifuatilia mazishi ya mwili wa marehemu David Nkulila

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu David Nkulila
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu David Nkulila
Mjane wa marehemu, Bi. Prisca akiweka shada la maua katika kaburi la mme wake marehemu David Nkulila
Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu baba yao David Nkulila
 Mkurugenzi wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde (kushoto) na Mwandishi wa Azam Tv , Kasisi Kosta wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu David Nkulila kwa niaba ya Klabu ya Waandishi wa  Habari Mkoa wa Shinyanga (SPC) ambapo David Nkulila alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili katika Klabu hiyo.
Madiwani wa Manispaa ya Shinyanga wapiga picha ya kumbukumbu katika kaburi la aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila ambaye pia alikuwa Diwani wa kata ya Ndembezi tangu mwaka tangu mwaka 2010 anafariki dunia Agosti 23,2021.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Soma pia:

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post