Ngoma Mpya : KING MAGENHIRO - MATESO KWA WATOTO


Msanii wa Nyimbo za asili anayekuja kwa kasi Magenhiro maarufu Virus wa Nyimbo za asili Tanzania 'King Magenhiro' kutoka Shinyanga ameachia wimbo mpya kuhusu Haki za Watoto alioupa jina la 'Mateso kwa watoto'

Katika wimbo huu uliotengenezwa na Director Manyero wa Manyero Records, Magenhiro anakemea tabia ya kutupa na kutelekeza watoto wachanga. Kazungumzia pia kuhusu tabia za udangaji na ugumba.

 Sikiliza wimbo huu hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post