Breaking : HAJI MANARA ANG'OLEWA SIMBA SC...EZEKIEL KAMWAGA SASA MSEMAJIBODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Julai 28, 2021 kwa kauli moja, imeridhia matakwa ya Haji Manara ya kutokuendelea kuhudumu katika nafasi ya Msemajiwa Klabu hiyo. Bodi inamshukuru kwa maneno aliyotumia kuwaaga wana Simba.

Klabu ya Simba imemteua, Ezekiel Kamwaga kuwa Kaimu Mkuu wa Idaa ya Habari na Mawasiliano ya Klabu kwa kipindi cha miezi miwili.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post