LHRC YATOA POLE KWA WALIOATHIRIWA NA TUKIO LA SOKO LA KARIAKOO KUUNGUA MOTOKituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitishwa na tukio la moto lililotokea katika Soko Kuu la Kariakoo na kusababisha uharibifu wa vitu mbalimbali vyenye thamani. LHRC inawapa pole wote walioathirika na tukio hili kwa namna yoyote.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post