CCM YAMTEUA KALIMA KUWA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, DKT. PHILIPE NYIMBI KATIBU MKUU UWT | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, July 29, 2021

CCM YAMTEUA KALIMA KUWA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, DKT. PHILIPE NYIMBI KATIBU MKUU UWT

  Malunde       Thursday, July 29, 2021
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo baada ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. IKULU
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post