RAIS SAMIA AREJEA DODOMA KUTOKA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI MSUMBIJI | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, June 24, 2021

RAIS SAMIA AREJEA DODOMA KUTOKA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI MSUMBIJI

  Malunde       Thursday, June 24, 2021


Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo, akitokea Maputo nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Wakati wa mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binadamu kitakachosaidia nchi zinazokabiliwa na athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kukabiliana na janga la corona pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la ugaidi.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post