MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments