BENKI YA TPB YATOA MSAADA WAA CHAKULA SHULE YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU PONGWE TANGA

Benki ya TPB imetoa msaada wa vyakula katika shule ya msingi ya Pongwe mkoani Tanga yenye wanafunzi wenye mahitaji maalum ikiwa ni sehemu ya kushiriki nao katika maadhimisho y siku ya Mtoto wa Afrika.

Meneja wa Benki ya TPB  tawi la  Tanga Patrick Swenya amesema wameamua kuungana na mataifa mengine barani Afrika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa kila ifikapo Juni 16 kwa kutoa msaada wa chakula kwa watoto hao na kwamba kuwa wataendelea kutoa msaada kwa watoto hao na wamekuwa wadau wakubwa katika shule hiyo wanapohitaji msaada.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments