Picha : MAMA MARIA NYERERE AMTEMBELEA MAMA JANETH MAGUFULI, AMKABIDHI KITENGE | MALUNDE 1 BLOG

Friday, June 11, 2021

Picha : MAMA MARIA NYERERE AMTEMBELEA MAMA JANETH MAGUFULI, AMKABIDHI KITENGE

  Malunde       Friday, June 11, 2021Mjane wa  Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemtembelea Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, awamu ya Tano, Mama Janeth Magufuli, nyumbani kwake jijni Dar es salaam leo. Mama Maria, aliyeongozana na mjukuu wake Bhoke Nyerere, alimkabidhi Mama Janeth Kitenge alipofika nyumbani hapo.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post