MAJAJI WALIOTEULIWA NA RAIS SAMIA KUAPISHWA KESHO, WAKUU WA MIKOA KESHO KUTWA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, May 16, 2021

MAJAJI WALIOTEULIWA NA RAIS SAMIA KUAPISHWA KESHO, WAKUU WA MIKOA KESHO KUTWA

  Malunde       Sunday, May 16, 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kesho anatarajia kuwaapisha Majaji 28 wa Mahakama ya Rufani  na Majaji wa Mahakama Kuu aliowateua siku chache zilizopita.


Taarifa iliyotolewa leo na kusambazwa kwenye vyombo vya habari na , Mkurugenzi wa kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais (Ikulu), Gerson Msigwa imebainishwa kuwa hafla ya kuwaapisha majaji hayo itafanyika kuanzia saa tatu asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Kikwete.

Taarifa hiyo pia imebainisha kuwa keshokutwa Rais Samia atawapisha wakuu wa mikoa na wakuu wa taasisi aliyowateua Mei 15, 2021.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post