RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA AZZA HILAL HAMAD, PRISCA KAYOMBO RAS MPYA SIMIYU, CAMILIUS WAMBURA DCI | MALUNDE 1 BLOG

Monday, May 31, 2021

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA AZZA HILAL HAMAD, PRISCA KAYOMBO RAS MPYA SIMIYU, CAMILIUS WAMBURA DCI

  Malunde       Monday, May 31, 2021
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani mkoa wa Shinyanga Machi 8,2020 katika kata ya Iselamagazi halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
**
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu na nafasi yake kuchukuliwa na Prisca Joseph Kayombo ambaye alikuwa Afisa Mkuu wa Utawala na Utumishi katika Wizara ya Fedha na Mipango.

Bi. Azza aliteuliwa jana Mei 29, 2021 kushika wadhifa wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, ambapo sasa kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu iliyotolewa usiku huu, Azza atapangiwa majukumu mengine.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post