COCU DELICIOUS FOOD YATANGAZA NAFASI ZA KAZI....MAOMBI MWISHO MEI 27,2021 | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, May 25, 2021

COCU DELICIOUS FOOD YATANGAZA NAFASI ZA KAZI....MAOMBI MWISHO MEI 27,2021

  Malunde       Tuesday, May 25, 2021


NAFASI YA KAZI COCU DELICIOUS FOOD

COCU FOOD. Inajishughulisha na shughuli zote zinazohusu uandaaji na usambazaji wa vyakula, vinywaji baridi, matunda na vitafunwa.


AFISA MASOKO

Aina ya kazi: Afisa masoko (nafasi 1)


KAZI ZAKE NI KUTAFUTA WATEJA WA CHAKULA

Ø  Mteja mmoja mmoja

Ø  Wateja wa kwenye maofisi na maduka ya rejareja

Ø  Wateja wanaohitaji chakula kwenye mikutano, sherehe mbalimbali za kiserikali na kijamii na misiba

Ø  Kusambaza na kuhakikisha chakula kinamfikia mlaji kikiwa safi na salama.

ENEO LA KAZI: Shinyanga Mjini


TAALUMA NA UZOEFU

Ø  Awe amesomea masoko ngazi ya cheti

Ø  Awe anajua Kiswahili na Kiingereza vizuri (kuongea na kuandika)

Ø  Awe ana ujuzi wa kutumia computer Microsoft word na excel

Ø  Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika shughuli za masoko

Ø  Awe mkazi wa Shinyanga mjini

 

MSHAHARA

Makubaliano


UMRI

Kuanzia miaka 18 hadi 40


Muhimu

Maombi ya kazi yatumwe kwa barua na CV  kupitia; email:cocufood52@gmail.com

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:27/05/2021.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post