KAMPUNI YA ASFA HOSE SERVICE YATUA KWA KISHINDO KWENYE MAONESHO YA WAJASIRIAMALI NA WAWEKEZAJI KAHAMA


Mhasibu na Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi na Gabriel Mathew wakionesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd imeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.

Akizungumza leo Mei 26,2021 kwenye maonesho hayo yanayofanyika katika Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Nyihogo Kahama, Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew amesema wameshiriki  maonesho hayo kwa ajili ya kutangaza Kampuni yao.

“Tumekuja kutangaza Kampuni yetu ya Asfa Hose Service and Maintenance Support yenye makao makuu Mjini Kahama  mkoani Shinyanga na matawi yake Tabora na Mwanza na kutoa elimu kuhusu huduma tunazotoa”,amesema.

Amesema lengo jingine la kushiriki maonesho hayo ni Kuibua fursa mbalimbali zinazojitokeza kwa wajasiriamali walioshiriki maonesho na kutanua wigo wa mawasiliano (Connection) kwa wadau mbalimbali,kujifunza na kuongeza maarifa kupitia washiriki wa maonesho.

Amefafanua kuwa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd inajihusisha na kubana hose pipe,kuuza vipuli vya mitambo,mashine na magari,kuuza vifaa vya kujikinga na hatari kazini (PPE),kuuza Filters za aina zote,ufundi wa kutengeneza mitambo mikubwa migodini, Pampu aina zote na magari.

“Hali kadhalika tunajihusisha na kuchomelea na kuunganisha mitambo na kuagiza magari mapya kutoka nje ya nchi, kukodisha mashine kama Crane, Fork lift, Excavator, Dozer,Grader,Rolla”,ameeleza Mathew.

Ameongeza kuwa Asfa Hose pia wanajihusisha na utoaji elimu kwa wachimbaji wadogo na jamii kuhusu umuhimu wa kutumia vifaa vya kujikinga na hatari kazini (PPE), usalama kazini na utunzaji mazingira  pamoja na masuala ya Burudani ikiwemo kuandaa Matamasha ya michezo na muziki.

Huduma zinazotolewa kwenye Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd ni Line Boring, Civil Work, Machine Hire, Supply of PPE, Industrial Filters, Supply of Spare Parts, Welding and Fabrications, Hydraulic Hose Assembly and repair, Maintenance and service contracts.

Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd inapatikana maeneo ya Asilimia Mia karibu na Front Oil Kahama. Mawasiliano yao ni 0715859321 au 0755067193 au 0767566233 au 0744446970 au Email : info@asfahoseservice.com Website : www.asfahoseservice.com na kwenye mitandao ya kijamii (Facebook, Twitter, Instagram, Youtube @asfahoseservice


ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha safety helmet kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha safety ear muff kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha dust mask kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha safety boot kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha hose reel kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha mashine ya kuchonga trade kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha filter aina ya Komatsu kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha water pump kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha Air greese pump kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko na mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew na salma Msangi wakionesha Fitting na Ferule kwa ajili ya kuunganisha hose pipe kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha vest reflactor kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha Diaphragm pump kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha Front Light kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha tie belt kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, wakionyesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu na Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi na Gabriel Mathew wakionesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu na Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi na Gabriel Mathew wakionesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Soma pia:

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments