MKE WANGU ALIGAWA WATOTO WANGU KWA MWANAUME MWINGINE BAADA YA KUACHANA


 Ni kweli katika maisha huwezi kupata mwanamke au mwanaume ambaye ataweza kupenda unachokipenda na kuchukia kila unachokichukia.

Kabla hujamuoa mwanamke siku zote kila mtu huwa anaficha tabia yake hivyo ni vigumu kuweza kutambua upande wa pili.

Mara nyingi mwenzako anaweza kusema jambo analolipenda na jambo ambalo halipendi kwa kuwa mpo katika mahusiano na wewe mwenyewe unasema unapenda kile alichosema na unachukia kile anachokichukia. 

Mkishaanza kuishi wote ndipo mwanaume au mwanamke anatoa makucha yake aliyokuwa ameficha mwanzo. Kwa kuwa huwezi kupata mwenza wako ambaye atapenda na kuchukia kila unachokichukia hivyo inakuwa haina budi kuvumiliana kati yenu wawili.

Kwa ufupi mimi naitwa Nelson mkazi wa Dodoma nilibahatika kumuoa Maria ambaye mwanzo kabisa tulipendana ikafikia hatua ya kupata ridhaa kutoka kwa wazazi na hatimaye tukafunga ndoa kanisani. 

Hapo mwanzo maisha yetu ya ndoa yalikuwa yamejaa amani na furaha,hivyo tulibahatika kupata watoto wawili (wa kiume,kike). 

Maria baada ya kujifungua mtoto wa pili alianzisha tabia ya kwenda kwao Singida mara kwa mara,tabia ambayo mimi sikuipenda kabisa. Ilibidi nimuulize kwao anaenda kufanya nini hata hamalizi mwezi mmoja nyumbani.

Nikaamua kufuatilia zaidi kuhusu safari zake za kwenda Singida.

 Siku moja akaniomba tena ruhusa ya kwenda kwao kwa haraka nikakubali na kumpatia nauli pamoja na zawadi kwa ajili ya wazazi huko Singida. Alivyokwenda kupanda gari na mimi nikatoka nyumbani na kupanda gari zinazokwenda Singida.

Mungu alinisaidia nikafika salama Singida na usiku huo nilimpigia simu mke wangu hakuweza kupokea,kesho yake asubuhi nilikwenda kwao ila Maria alikuwa hajafika ndipo nikajua kuwa mke wangu ana mwanaume nje ya ndoa.

Niliweza subiri Maria aje kwao ila na siku ya pili hakufika kulingana na wazazi wake walisema tusubiri hadi afike hivyo siku ya tatu ndiyo alifika kwao.

Alishangaa kunikuta mimi kwao. Tuliweza muuliza siku zote alikuwa wapi ndipo akasema ukweli kuwa alikuwa kwa Boniface,jina Boniface halikuwa geni kwa sababu nilikuwa namtambua kama Ex wake kulingana alivyoniambia kipindi hatujaoana.

Kulingana na imani ya dini yangu sikuweza fikiria kuoa mwanamke mwingine hivyo nilirudi Dodoma na mke wangu akiwa ameomba msamaha na kutoa ahadi nyingi mbele yangu na wazazi wake wawili.

 Maria hakuweza badilika bali tabia ya kuwasiliana na Boniface iliongezeka. Na baada miezi 3 kupita Maria aliachika kwangu na kwenda na watoto wangu wawili. Kutokana na tabia zake zilikuwa zimenichosha sikuweza kumwambia arudi zaidi nilienda hdi kwao na kuwaambia kuwa mimi nahitaji watoto wangu.

Kitendo cha kuhitaji watoto wangu hakikuweza kufanikiwa kulingana na watoto walikuwa wadogo sana hivyo walihitaji malezi ya mama zaidi.

Hivyo nikaanza kuhudumia watoto wangu na baada miezi 2 kupita Maria alianza kuishi na Boniface. Kitendo cha Maria kuanza kuishi na Boniface kilifanya nikose mawasiliano na watoto wangu. Kila nilipokuwa napiga simu Maria hapokei na muda mwingine Boniface anapokea tena kwa jeuri.

Baada ya miaka 2 kupita mtoto wetu wa kwanza alianza shule na Maria alipomchukua shule aliandikisha jina la Boniface kuwa ndiyo Baba mzazi wa watoto wangu. Hizo taarifa nilipozipata nikapanda gari hadi Singida nikafika kwa nyumbani ya Boniface na kudai watoto wangu ndipo Maria akasema kwa kuwa anampenda sana Boniface aliamua kumpa watoto wangu kwa sababu mimi sifai kuitwa Baba wa watoto wake.

Hayo maneno ya Maria yalinifanya nitafute usaidizi ndipo rafiki yangu Johannes akaniambia kuwa mtu ambaye anaweza nisaidia ni Dr. Kiwanga ambaye alimsaidia mama yake mdogo kupata wezi ambao walikuwa wamemsumbua kwa muda mrefu.

Alinipa namba hii +254 769404965 kisha nikawasiliana na Dr. Kiwanga hapo Dr aliweza niuliza baadhi ya maswali kisha akasema kuwa atanisaidia na separation spells kwa ajili ya kurudisha watoto wangu.

Na baada ya siku 4 kupita Maria alinipigia simu kuwa niende Singida kuchukua watoto wangu.

Kwa sasa watoto wangu wanasoma na kila likizo nawapa nafasi ya kwenda Singida kwa ajili ya kumtembelea mama yao mzazi. Asante kiwangadoctors.

Natoa wito kwa mwenye matatizo ya kifamilia awasiliane na Dr. Kiwanga utapata msaada. Dr. Kiwanga anatibu Pressure,Kisukari na Magonjwa ya zinaa kwa kutumia miti shamba. 

Dr. Kiwanga pia anatatua shida kama kupata mpenzi, kurudisha mtu aliyekuacha,nguvu za kiume pamoja na kupata kazi kwa waliokosa.

 Wasiliana na Dr. kiwanga kwa namba +254 769404965 na website yao ni www.kiwangadoctors.com




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments