KATIBU MKUU KIONGOZI, MAWAZIRI 8 NA MANAIBU MAWAZIRI 8 KUAPISHWA LEO SAA 9 ALASIRI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia leo kuwaapisha Katibu Mkuu Kiongozi, mawaziri wanane pamoja na manaibu waziri wanane aliowateua jana tarehe 31/03/2021 baada ya kufanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri.

Uapisho huo utafanyika leo Ikulu ya Chamwino Dodoma majira ya saa tisa alasiri, ambapo Katibu Mkuu Kiongozi mteule Balozi Hussein Athuman Kattanga ataapishwa wa kwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments