DKT. BASHIRU ALLY NA WENZAKE WAAPISHWA KUWA WABUNGE....NDUGAI AAHIRISHA BUNGE HADI APRILI 6 | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, April 1, 2021

DKT. BASHIRU ALLY NA WENZAKE WAAPISHWA KUWA WABUNGE....NDUGAI AAHIRISHA BUNGE HADI APRILI 6

  Malunde       Thursday, April 1, 2021

Spika wa Bunge Job Ndugai leo April 1, 2021 amewaapisha wabunge watatu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wabunge hao ni Balozi Dkt. Bashiru Ally, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na Balozi Liberata Mulamula ambao kwa pamoja wameapa mbele ya Spika wa Bunge.

Pia Spika Ndugai ametumia nafasi hiyo kuahirisha vikao vya Bunge hadi April 6 mwaka huu saa 3:00 Asubuhi na kuwatakia heri ya sikukuu ya Pasaka waumini wote wa madhehebu ya Kikristo.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post