Video : WASANII WA SHINYANGA 'UKOO' WAOMBOLEZA KIFO CHA MAGUFULI KWA WIMBO "MZEE WETU" - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Sunday, March 21, 2021

Video : WASANII WA SHINYANGA 'UKOO' WAOMBOLEZA KIFO CHA MAGUFULI KWA WIMBO "MZEE WETU"

Wasanii mkoani Shinyanga akiwemo Hassy Q, PrezBeats, RamaPizzo, Nasha, Nayla na Willkan  waliounda kundi linaloitwa Ukoo wameomboleza Kifo cha Aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wimbo walioupa jina la 'Mzee Wetu'.

Tazama video hapa chini

UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages