TAASISI YA WAJIBU YAWAPIGA MSASA WANAHABARI KUHUSU UFUATILIAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NGAZI YA HALMASHAURI


Meneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu masuala ya Kilimo katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya rushwa ,ubadhirifu na udanganyifu katika sekta za umma .
Baadhi ya Wanahabari walioshiriki Warsha hiyo wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini humo
Afisa Mawasiliano kutoka Taasisi ya WAJIBU,Hassan Kisena akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu masuala ya viashiria vya vitendo vya Rushwa katika Sekta ya Umma katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma .
Wakifuatilia kwa makiniMeneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu masuala ya Elimu kuhusiana na Mafanikio lakini pia upungufu wa Miundombinu katika sekta ya Elimu hapa nchini,katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma .
Meneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akimsikiliza kwa makini mmoja wa Wanahabari (hayupo pichani) aliyekuwa akitoa ushuhuda kuhusu hali ya upatikanaji wa maji Mjini na Vijijini. Afisa Ufuatiliaji na Tathimini,Tekla Mleleu akiwakaribisha Wanahabari kabla ya kuanza kwa Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari hao iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma .
Mmoja wa Wanahabari akieleza kwa kutoa ushuhuda kwa namna baadhi ya maeneo yanavyokumbwa na chagamoto ya upungufu wa Miundombinu katika sekta ya Elimu
Wafanyakazi wa Taasisi ya WAJIBU wakifuatilia Mada zilizokuwa zikijadiliwa kwenye Warsha hiyo iliyoandaliwa na Taasisi hiyo kwa WanahabariMeneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu hali ya upatikanaji wa Maji hapa nchini katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma .

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments