RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA CHUO CHA ELIMU NA UFUNDI STADI (VETA) MKOANI KAGERA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke baada ya kuweka la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Balozi wa China Nchini Mhe. Wang Ke akiweka la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya na Mafunzo Stadi (VETA) Bw. Peter Maduki baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post