NAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME KIGAMBONI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, January 27, 2021

NAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME KIGAMBONI

  Malunde       Wednesday, January 27, 2021

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akiongozana na Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco, Mhandisi Neema Mushi wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco, Mhandisi Neema Mushi wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco, Mhandisi Neema Mushi  wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26 kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi.Sarah Msafiri. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa transfoma kubwa ya umeme na Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco,Mhandisi Neema Mushi wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa mitambo mbalimbali ya kupoza umeme iliyofungwa kwenye kituo hicho na Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco ,Mhandisi Neema Mushi wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa mifumo mbalimbali inayofungwa katika kituo hicho cha kupoza umeme na Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco, Mhandisi Neema Mushi wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. 
Baadhi ya mitambo iliyofungwa katika kituo hicho inavyoonekana. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato pia ametembelea mitambo ya kufua umeme wa gesi Kinyerezi II na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa katika mitambo hiyo. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipokea taarifa ya uzalishaji katika mitambo hiyo. 
Mhandisi Innocent Luoga akimuongoza Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato wakati alipokuwa akitembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi II.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post