Ngoma Mpyaaa!! NYANDA MADIRISHA OBHADO 'MALIGANYA' - MAWAZO

 

Msanii machachari wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo kutoka Kahama mkoani Shinyanga ameachia ngoma mpya inaitwa 'Mawazo' . Video ya Mawazo imetengenezwa na Director maarufu Manwell. 

Tazama Video hapa chini



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments