Angalia Picha : MKUTANO MKUBWA WA KAMPENI JPM ZANZIBAR AKINADI SERA ZA CCM NA KUMUOMBEA KURA DKT. HUSSEIN MWINYI | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, October 4, 2020

Angalia Picha : MKUTANO MKUBWA WA KAMPENI JPM ZANZIBAR AKINADI SERA ZA CCM NA KUMUOMBEA KURA DKT. HUSSEIN MWINYI

  Malunde       Sunday, October 4, 2020

Habari na Picha. Yaliyojiri na Aliyoyazungumza Mgombea Urais wa CCM wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Kutoka Kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni jana Kwenye Viwanja Vya Mnazi Mmoja Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Wakati akieleza Makubwa Yaliyofanywa na Serikali ya CCM na Kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi. #T2020JPM #Mwinyi2020.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post