JPM KESHO KUKINUKISHA KWA GWAJIMA... NI KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE! UGENI WA GWAJIMA: Shujaa na Mbeba maono Dkt John Pombe Magufuli anaendelea kutikisha Jiji la Dar es Salaam na Sasa anatua Kawe. Ni Jumatano hii Oktoba 14 ndani ya Viwanja Vya Tanganyika Packers. Njoo wewe, Mwenzako na Shtua Watanzania wote tukajae Kusikiliza Sera na Ilani imara ya CCM.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments