MAJALIWA AUNGURUMA VIWANJA VYA MCHANGA MDOGO PEMBA... "VIJANA MSIKUBALI KUTUMIKA"


Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa Ndugu Kassim Majaliwa ameunguruma Visiwani Pemba leo na haya ndiyo aliyoyaongea Kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Visiwani humo Dkt Hussein Ali Mwinyi Kwenye Viwanja Vya Mchanga Mdogo. #YajayoniNeematupu#Mwinyi2020


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post