MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA YAZIDI KUPAMBA MOTO BENKI YA TPB SHINYANGA

Wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakiongozwa na Meneja wa Benki hiyo, Julius  Mataso (wa pili kushoto) wakionesha Ishara ya Umoja na Upendo kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja leo Alhamis Oktoba 8,2020 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
 *****
Madhimisho ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja yanaendelea kupamba moto katika Benki ya TPB Tawi la Shinyanga ambapo wafanyakazi wa TPB Bank wanaendelea kutoa huduma kwa wateja ikiwa ni sehemu ya utamaduni wao wa kutoa huduma za ubora wa hali ya juu kwa wateja. 

Katika Wiki Hii ya Huduma kwa Wateja ambayo huadhimishwa kila mwaka mwezi Oktoba Benki ya TPB inaendelea kusikiliza maoni ya wateja na kutoa huduma mbalimbali za kibenki zikiwemo za mikopo na kutuma pesa ndani na nje ya nchi. 

Tazama Matukio yaliyojiri leo Alhamis Oktoba 8,2020 wakati wa siku ya 4 Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja katika Benki ya TPB. 
Wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakiongozwa na Meneja wa Benki hiyo, Julius  Mataso (wa pili kushoto) wakionesha Ishara ya Umoja na Upendo kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja leo Alhamis Oktoba 8,2020 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakiongozwa na Meneja wa Benki hiyo, Julius  Mataso (wa kwanza kushoto) wakipiga picha ya pamoja kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja leo Alhamis Oktoba 8,2020 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakiongozwa na Meneja wa Benki hiyo, Julius  Mataso (wa tatu kulia) wakipiga picha ya pamoja kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja leo Alhamis Oktoba 8,2020 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.

Meneja wa Benki ya TPB Julius  Mataso akiwa ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja leo Alhamis Oktoba 8,2020 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Benki ya TPB Julius  Mataso akiwa ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja leo Alhamis Oktoba 8,2020 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Wateja wa Benki ya TPB wakijaza fomu za kuweka na kupokea fedha katika Benki ya TPB
Wateja wa Benki ya TPB wakiendelea kupata husuma katika Benki ya TPB.
Wateja wa Benki ya TPB wakiendelea kupata husuma katika Benki ya TPB kutoka wa wafanyakazi wa TPB Bank (kulia).

Wateja wa Benki ya TPB wakiendelea kupata husuma katika Benki ya TPB kutoka wa wafanyakazi wa TPB Bank (kulia).

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments