MKURUGENZI MTENDAJI WA TIGO, SIMON KARIKARI ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WATEJA WA TIGO KATIKA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi wa Tigo, Simon Karikari pamoja na viongozi mbalimbali wa idara wakijibu na kutatua maswali ya wateja wa Tigo katika kituo cha huduma kwa wateja namba 100 , zoezi limefanyika leo katika wiki ya huduma kwa wateja.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Tigo, Bi. Mwangaza Matotola, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari pamoja na viongozi wa idara mbalimbali katika kituo cha kisasa cha Huduma kwa Wateja. Tukio hilo liliambatana na ukataji wa keki.
Mkurugenzi wa Tigo, Bw. Simon Karikari akipokea keki kutoka kwa Mwangaza Matotola, Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja kama ishara ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. 
Tigo inawathamini na kuwajali kwa kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma na bidhaa bora zaidi kila siku.
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.  Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote.
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.  Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote.
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.  Tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahili sehemu yeyote.
Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.  Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote.

KUTAZAMA TUKIO ZIMA ANGALIA HAPA CHINI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post