Picha : WANACHAMA WA MAGROUP YA WHATSAPP 'SHY TOWN VIP' WATOA ZAWADI KITUO CHA WATOTO BUHANGIJA


Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wanachama wa Makundi ya Whatsapp Mjini Shinyanga likiwemo Group maarufu kwa jina la ‘SHY TOWN VIP’ linaloundwa na wadau wa maendeleo wametembelea Kituo cha Kulelea Watoto wenye ulemavu cha Buhangija na kutoa zawadi mbalimbali zikiwemo nguo, taulo za kike ‘pedi’,sabuni,juisi,soda,toilet papers,pipi,chumvi,keki kisha kucheza nao muziki.

Ziara hiyo ya Wanachama wa Makundi ya Mtandao wa Whatsapp 'Members wa Whatsapp Groups' takribani 8 yaliyodumu kwa muda wa miaka mitatu sasa  iliyofanyika leo Jumamosi Oktoba 3,2020 ikiwa ni sehemu ya sherehe ya Wanachama wa Magroup ya Whatsapp Mjini Shinyanga ambapo pia leo jioni watakutana kwa ajili ya kula chakula cha pamoja na burudani mbalimbali.

Soma pia 

 SHEREHE KUBWA YA WANACHAMA WA MAKUNDI YA WHATSAPP SHINYANGA ‘SHY TOWN VIP PARTY’

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Lulekia Co. Ltd, Ansila Benedict amesema wameamua kutembelea kituo cha Buhangija ili kuonesha upendo kwa watoto wanaolelewa kituoni hapo wakiwemo watoto wenye ualbino,wasiosikia ‘viziwi’ na wasioona.

“Leo tuna sherehe ya wanachama wa Makundi ya Whatsapp ‘SHY TOWN VIP’, baadhi yetu tumefika hapa ili kukabidhi zawadi kwa watoto na baadaye tutaendelea na sherehe pale La Prince Pub. Tumekuja na pia na keki ikiwa ni ishara ya upendo kwa watoto wetu”,amesema Ansila.

Kwa upande wake Vivian Zabron kutoka Dawati la Jinsia na watoto Jeshi la Polisi wilaya ya Shinyanga ambaye ni miongoni mwa wanachama wa Group la SHY TOWN VIP amesema kila mmoja katika jamii ana wajibu wa kulinda watoto,kuwajali na kuwapatia haki wanazostahili na pindi haki za watoto zinapokiukwa ni vyema wananchi wakatoa taarifa kwenye vyombo vya dola.

  Nayo Kampuni ya Vinywaji TBL, kupitia kwa mwakilishi wao TofeeUptown imenunua umeme wa shilingi 50,000/= kwa ajili ya kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.

Mwalimu Mlezi katika kituo cha kulelea watoto Buhangija , Anna Onesmo amewashukuru watumiaji hao wa mitandao ya kijamii kufika katika kituo hicho akisema wameonesha upendo wa hali juu kufariji watoto na kuomba wadau wengine kuendelea kutembelea watoto hao.

ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Kiongozi wa Msafara wa Wanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga ' Shy Town VIP' waliotembelea kituo cha kulelea watoto cha Buhangija Mjini Shinyanga, Mkurugenzi wa Kampuni ya Lulekia Co. Ltd, Ansila Benedict akizungumza wakati wanachama wa magroup ya Whatsapp Shinyanga wakikabidhi zawadi kwa watoto hao leo Jumamosi Oktoba 3,2020. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwalimu Mlezi katika kituo cha kulelea watoto Buhangija , Anna Onesmo akizungumza wakati wanachama wa magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP' wakikabidhi zawadi kwa watoto hao.
 Vivian Zabron kutoka Dawati la Jinsia na watoto Jeshi la Polisi wilaya ya Shinyanga ambaye ni miongoni mwa wanachama wa Group la SHY TOWN VIP akizungumza wakati wanachama wa magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP' wakikabidhi zawadi kwa watoto hao.
Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lulekia Co. Ltd, Ansila Benedict  akikabidhi zawati ya juisi zilizotolewa na wanachama wa Makundi ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town Vip' kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 3,2020.
Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lulekia Co. Ltd, Ansila Benedict  akikabidhi zawati ya juisi zilizotolewa na wanachama wa Makundi ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town Vip' kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga leo.
Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lulekia Co. Ltd, Ansila Benedict  akikabidhi zawati ya toilet papers zilizotolewa na wanachama wa Makundi ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town Vip' kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga.
Mc Zeze ' Mwalimu  Zezema Shilungushela' ambaye ni miongoni mwa wanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP' akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija Mjini Shinyanga.
Mc Ice ' Sauti ya Simba' ambaye ni miongoni mwa wanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP' akifurahia na watoto.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP' wakifurahia na watoto kwa kucheza muziki.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP' wakifurahia na watoto kwa kucheza muziki.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP' wakifurahia na watoto kwa kucheza muziki.
Wa tatu kulia ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', TofeeUptown akikata keki na watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija iliyoandaliwa na Wanachama wa Makundi ya Whatsapp Shinyanga kama ishara ya upendo kwa watoto hao.
Wa tatu kulia ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', TofeeUptown akikata keki na watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija iliyoandaliwa na Wanachama wa Makundi ya Whatsapp Shinyanga kama ishara ya upendo kwa watoto hao.
Wa tatu kulia ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', TofeeUptown akikata keki na watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija iliyoandaliwa na Wanachama wa Makundi ya Whatsapp Shinyanga kama ishara ya upendo kwa watoto hao.
Wa tatu kulia ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', TofeeUptown akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
MC ICE ambaye  ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Grace Mng'ong'o ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Gven Wear akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Eva Chaulema kutoka Dawati la Jinsia na Watoto Shinyanga ambaye  ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Stella Mhondo kutoka Dawati la Jinsia na Watoto Shinyanga ambaye ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Juliana Mpazi ambaye  ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Vivian Zabron kutoka Dawati la Jinsia na Watoto Shinyanga ambaye  ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Secilia Kiza kutoka Dawati la Jinsia na Watoto Shinyanga ambaye ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mkurugenzi wa Malunde  1 Blog, Kadama Malunde ambaye ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akijiandaa kuwalisha keki watoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mkurugenzi wa Malunde  1 Blog, Kadama Malunde ambaye ni Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp 'Shy Town VIP', Hanifa akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Leila Rashid akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Ansila Benedict ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lulekia akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Fenttyana Classic  akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Benjamin 'Benja Music' akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Nasha Ackson akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mtoto wa Zezema Shilungushela "Mtoto wa Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Zoezi la kuwalisha keki watoto likiendelea.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Msanii Patrick akimlisha keki mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Msanii Patrick akitoa burudani katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', ToffeeUptown akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Eva Chaulema akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Juliana Mpazi akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Vivian Zabron akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Fenttyana Classic akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Nasha Ackson akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Vivian Kizza akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Grace Mng'ong'o 'Gven Wear' akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Zezema Shilungushela akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Stella Mhondo akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Ansila Benedict ' Lulekia' akikabidhi taulo laini kwa mtoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Hanifa akigawa pipi kwa watoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Leila akigawa pipi kwa watoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Toffee Uptown akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Eva Chaulema akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Stella Mhondo akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Grace Mng'ong'o 'Gven Wear' akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Secilia Kizza akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Fenttyana Classic akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Mwanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', Hans Q kutoka Shy Town VIP Band akizungumza katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', MC Zeze na MC Ice wakipiga picha ya kumbukumbu katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', wakiwa katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP', wakiwa katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP' wakipiga picha ya pamoja na watoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.
Wanachama wa Magroup ya Whatsapp Shinyanga 'Shy Town VIP' wakipiga picha ya pamoja na watoto katika kituo cha kulelea watoto cha Buhangija.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post