JPM BADO YUPO DAR!! JUMATATU ATAUNGURUMA VIWANJA VYA KINYEREZI ILALA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli bado yupo ndani ya Jiji la Dar es salaam akiendelea kumwaga sera na kuomba kura kwa wananchi. Sasa ni hivi! Baada ya kuunguruma uwanja wa Mkapa, Mara hii mitambo imehamia ndani ya Wilaya ya Ilala ambapo Siku ya Jumatatu Oktoba 12,2020 JPM atakiwasha  na kuendelea na Mikutano yake ya Kampeni Kwenye Viwanja Vya Kinyerezi, Ilala. Jiji Litasimama hivyo Mwambie Mwenzako kwamba mpango mzima Jumatatu ni Kinyerezi, Ilala. #T2020JPM.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post