SAED KUBENEA AACHIWA KWA DHAMANA


 Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuachiwa kwa dhamana.Kesi inayomkabili itatajwa tena Sepetemba 21 mwaka huu.

Kubenea anatuhumiwa kuingiza fedha za kigeni bila kutoa tamko na kuingia nchini kinyume cha sheria ya uhamiaji.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post