 |
Mgombea ubunge Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akihakiki nyaraka muhimu
kabla ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi
kugombea Jimbo la Kisesa. wengine ni Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu,
Charles Mazuri kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Meatu, Juma Mwiburi |
 |
Wagombea Ubunge wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina
(kulia) na Leah Komanya Jimbo la Meatu (kushoto ) wakijaza fomu za Tume
ya Uchaguzi kuomba kuteuliwa kugombea majimbo hayo kwa ajili ya uchaguzi
mkuu mwaka huu. |
 |
Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akizungumza na madiwani
walioteuliwa na CCM kugombea kwenye kata za Jimbo la Kisesa muda mfupi
baada ya kujeresha fomu ya kugombea ubunge 2020. |

Mgombea ubunge Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akifurahia jambo na Mgombea
ubunge Jimbo la Meatu, Leah Komanya wakati wakiingia kuchukua fomu ya
kuomba kuteuliwa na Tume ya uchaguzi. wengine ni Katibu wa CCM Meatu,
Charles Mazuri na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Meatu, Juma Mwiburi.
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527