NEC YAMTEUA YEREMIA MAGANJA WA NCCR-MAGEUZI KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa Tanzania na Haji Ambar Khamisi kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553