
Ndege aina ya Dreamliner, A7-BCG ya Shirika la Ndege la Qatar (Qatar Airways) ikikanyaga ardhi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mapema asubuhi hii ikiwa ni muendelezo wa safari za ndege za mashirika ya kimataifa nchini Tanzania.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako