Angalia Picha : MSANII MBOSSO ATEMBELEA KIWANDA CHA JAMBO SHINYANGA MJINI | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, August 11, 2020

Angalia Picha : MSANII MBOSSO ATEMBELEA KIWANDA CHA JAMBO SHINYANGA MJINI

  Malunde       Tuesday, August 11, 2020

Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiwa na vinywaji vinavyozalishwa na Kampuni ya Uzalishaji na Usambazaji wa Vinywaji baridi 'Jambo Food Products Ltd' ya Mjini Shinyanga alipofanya ziara katika kiwanda hicho Agosti 8,2020.

 Akiwa katika kiwanda hicho kinachozalisha vinywaji mbalimbali zikiwemo Juice,Soda na maji, Mbosso alieleza kufurahishwa na uwekezaji mkubwa kwa kutumia mitambo ya kisasa huku akifurahia vinywaji hivyo.
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiangalia namna vinywaji vinavyozalishwa katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd.
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiangalia Juisi ya Matunda Mchanganyiko  'Jambo Matunda Mix' katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd.
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiwa na vinywaji vinavyozalishwa katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd  'Jambo Cola na Jambo Power'
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akizungumza katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post