JENGO LA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SHINYANGA LAZINDULIWA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, August 7, 2020

JENGO LA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SHINYANGA LAZINDULIWA

  Malunde       Friday, August 7, 2020

Muonekano wa Jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga lililozinduliwa leo Ijumaa Agosti 7,2020 na Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma.
****
Jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, ambalo lilijengwa mwaka 2006 na kukamilika mwaka 2015 kwa gharama ya Shilingi bilioni 4 limezinduliwa leo Ijumaa Agosti 7,2020 na Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma.

Akizungumza wakati wa kuzindua Jengo hilo, Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma amesema lengo la kujengwa kwa jengo hilo ni kusogeza huduma kuwa karibu na wananchi.


Katikati ni Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma akikata utepe akizindua rasmi Jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post