Picha : MWENYEKITI WA CCM MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, August 18, 2020

Picha : MWENYEKITI WA CCM MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

  Malunde       Tuesday, August 18, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akijiandaa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.
Wajumbe wakiwa katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Visiwani, Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili tayari kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma. Pamoja naye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiwasili kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma. PICHA NA IKULU
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post