ASIA YAHAYA KALLAGHE ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE VITI MAALUM UVCCM TANGAAsia Yahaya Kallaghe amekuwa mshindi wa kwanza wa uchaguzi wa kura za maoni kuwania Nafasi ya Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Tanga kupitia kundi la Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kupata kura 19 kati ya kura 43 zilizopigwa huku nafasi ya pili ikichukuliwa na Mosi Bakari Jengo aliyepata kura 14 akifuatiwa na Mwanaidi Awadhi Kipingu aliyepata kura 9.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post