MAIGE ACHUKUA FOMU KUTETEA UBUNGE WAKE MSALALA....IDADI YA WANAOUTAKA UBUNGE MAJIMBO SHINYANGA YAFIKA 245



Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emmanuel Mbamange akimkabidhi Ezekiel Maige fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo Msalala kwa awamu pili kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). 
Picha na  Salvatory Ntandu - Kahama
**
**
Mbunge wa Jimbo la Msalala Ezekiel Maige leo Julai 15,2020 amechukua fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo Msalala kwa awamu pili kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mpaka leo saa 10 jioni Julai 15,2020 zaidi ya wanachama 245 wa CCM wamejitokeza kuomba ridhaa CCM kuomba kugombea ubunge mkoani Shinyanga ambapo katika Jimbo Shinyanga Mjini wamejitokeza 48,Msalala 33, Ushetu 13, Kahama Mjini 53, Solwa 39 na Kishapu 59.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527