STEVE NYERERE AAMBULIA KURA 6 KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA LA IRINGA MJINI...MSHINDI NI DR JESCA MSAMBATAVANGU

Dr Jesca Msambatavangu ameongoza kwa kura 190 akifuatiwa na Nguvu Chengula kura 75 huku Ibrahimu Ngwada akipata kura 44 Steve Nyerere kura 6

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post