RWEIKIZA ASHINDA KURA ZA MAONI BUKOBA VIJIJINI


Uchaguzi wa Kura za Maoni Katika Jimbo la Bukoba Vijijini umehitimishwa Jioni hii kwa Dkt. Jasson Rweikiza kuibuka na Ushindi wa Kura 404, akifuatiwa na Yassir Matsawili aliyepata Kura 101, Eng. Ismail Nassoro 43.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post