
Prof Patrick Ndakidemi ameibuka mshindi katika mchakato wa kura za maoni Jimbo la Moshi Vijijini kwa kupata kura 262 akifuatiwa na Deogratius Mushi aliyepata kura 46
huku mshindi wa tatu akiwa ni Moris Makoi aliyepata kura 35.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako