RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WAKILI MKUU WA SERIKALI NA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI


Rais Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Julius Mashamba.



Kabla ya uteuzi Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.

Aidha, Rais Magufuli amemteua  Boniface Luhende kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Malata.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527