RAIS DK. SHEIN ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini kitabu cha maombolezi ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu  wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu.Benjamin William Mkapa, alipofika nyumbani kwake Mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam leo 25/7/2020.kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post