Aliyekuwa Mbunge wa Kilombero kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Peter Lijualikali amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kutetea nafasi hiyo.