Tazama Picha : MKUTANO WA UCHAGUZI WA KURA ZA MAONI JIMBO LA SHINYANGA MJINI

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini Abubakar Gulam akifungua Mkutano maalumu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini wenye ajenda ya kupiga kura za maoni kupata mwanachama wa CCM atakayegombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini katika uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ambapo jumla ya wanachama 60 wa CCM wameomba kugombea ubunge jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CCM. 

Msimamizi wa Uchaguzi huo Joachim Simbila ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM wilaya ya Kahama amesema wagombea watajieleza kwa muda wa dakika tatu, maswali matatu ambapo upigaji kura utafanyika kila kata kisha zoezi la kuhesabu kura na kutangaza matokeo utafuatia huku akisisitiza kuwaUchaguzi unafanyika kwa uwazi ambapo kura zitahesabiwa kwa wazi/hadharani huku wagombea wakishuhudia. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini Abubakar Gulam akifungua Mkutano maalumu wa wilaya ya Shinyanga Mjini wenye ajenda ya kupiga kura za maoni kupata mwanachama wa CCM atakayegombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini katika uchaguzi Mkuu mwaka 2020.Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Wagombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini wakiwa ukumbini.

Msimamizi wa  uchaguzi wa kura za maoni Jimbo la Shinyanga Mjini Joachim Simbila ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM wilaya ya Kahama akitangaza mwongozo wa uchaguzi wa kura za maoni Jimbo la Shinyanga Mjini.
Wagombea wakiwa wamesimama ukumbini
Msimamizi wa  uchaguzi wa kura za maoni Jimbo la Shinyanga Mjini Joachim Simbila ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM wilaya ya Kahama akisoma majina ya wagombea nafasi ya Ubunge Shinyanga Mjini
Wagombea wakisikiliza majina yao
Wajumbe wa Mkutano wa uchaguzi wakiwa ukumbini.
Wajumbe wa Mkutano wa uchaguzi wakiwa ukumbini.
Wajumbe wa Mkutano wa uchaguzi wakiwa ukumbini.
Wajumbe wa Mkutano wa uchaguzi wakiwa ukumbini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527