MWANASIASA MKONGWE KHAMIS MGEJA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KILAGO - KAHAMAKhamis Mgeja leo Julai 15,2020 akionesha fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Udiwani Kata ya Kilago wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
****
Mwanasiasa Mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga ambaye sasa ni Mwenyekiti wa taasisi ya Tanzania Mzalendo Foundation nchini, Khamis Mgeja leo Julai 15,2020 amechukua fomu kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Udiwani Kata ya Kilago wilayani Kahama mkoani Shinyanga.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post