CHADEMA YAFUNGUA PAZIA KWA WAGOMBEA WA URAIS, UWAKILISHI NA UDIWANI ZANZIBAR | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, July 1, 2020

CHADEMA YAFUNGUA PAZIA KWA WAGOMBEA WA URAIS, UWAKILISHI NA UDIWANI ZANZIBAR

  Malunde       Wednesday, July 1, 2020

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, fomu za kuwania urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 zitaanza kutolewa kuanzia Julai 4 hadi 19, 2020.


Hayo yamesemwa leo Jumatano tarehe 1 Julai 2020 na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Zanzibar, Salumu Mwalimu alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu mchakato wa kumpata mgombea urais, ubunge na uwakilishi.


Amesema, mchakato wa uchukuaji na urejeshaji fomu kwa mwanachama wa chama hicho anayetaka kugombea Urais wa Zanzibar utahitimishwa saa 10:00 jioni ya tarehe 19 Juni 2020.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post