RAIS MAGUFULI AMPANDISHA CHEO MKUU WA JKT MEJA JENERALI CHARLES MBUGE


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya, Meja Jenerali Charles Mbuge, baada ya kupandishwa cheo leo tarehe 3 Juni 2020 Makao Makuu ya JWTZ ya Muda yaliyopo Msalato Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance akimpongeza Meja Jenerali Charles Mbuge muda mfupi baada ya kumvalisha cheo kipya cha Meja Jenerali, leo tarehe 3 Juni 2020 Makao Makuu ya JWTZ ya Muda yaliyopo Msalato Jijini Dodoma.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527