SPIKA NDUGAI AWASILI HOSPITALI KUMJULIA HALI FREEMAN MBOWE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefika Hospitalini Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliyelazwa hapo baada ya kushambuliwa usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527